Mbunge
wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na Mmoja wa Madereva wa
Daladala ambao hufanya safari zao kituo cha River Side kwenda Makoka
mara baada ya kuchonga barabara hiyo kwa kutumia fedha za mfuko wa
jimbo .
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, akizungumza na Dereva wa Bodaboda katika barabara ya Riverside Makoka mara baada ya kukagua barabara hiyo iliyochongwa kwa fedha za Mfuko wa jimbo
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na Wakazi wa eneo la Ubungo Makoka mara alipo fika katika kituo cha Daladala eneo la Riverside kupata maoni yao nini kifanyike kuboresha barabara hiyo ili iweze kupitika muda wote
Mjumbe wa shina Makoka Phinias akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea juu ya barabara ya Makoka River side mara baada ya kuchonga barabara hiyo kwa kutumia fedha za mfuko wa jimbo

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...